HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 08, 2013

Rais Kikwete ahudhuria mkutano wa SADC Msumbiji

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji katika ikulu ya jijini Maputo leo. Rais Kikwete yupo nchini Msumbiji kuhudhuria kikao cha viongozi wa jumuiya ya uchumi kusini mwa Afrika SADC (Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Pages