HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2013

MKUTANO WA 39 WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA NSSF WAFANYIKA MJINI BAGAMOYO

 Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau akizungumza wakati wa Mkutano wa 39 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi uliofanyika katika Hotel ya Oceanic Bay mjini Bagamoyo. Kushoto ni Katibu wa Baraza hilo, Mzee Mfaume.
 Meneja Kiongozi, Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)Eunice Chiume (kuli), akifuatilia mada wakati wa mkutano huo.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, wakati wa Mkutano wa 39 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi uliofanyika mjini Bagamoyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau (katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, wakati wa Mkutano wa 39 wa Baraza Kuu la wafanyakazi uliofanyika mjini Bagamoya juzi. Kulia ni Mkurugenzi Rasilimari Watu wa NSSF, Chiku Matesa.
 Mada zikitolewa.
Picha ya pamoja.
Muziki ulipamba moto.

No comments:

Post a Comment

Pages