Warembo wa Redd's miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao

Warembo watakao wania taji la Redd's Miss Kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa vijana Kinondoni Dar es salaam .