HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2013

RAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA SERIKALI YA MPITO YA MADAGASCAR ALIETUA DAR JIONI HII KWA MAJADILIANO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mhe Andry Rajoelina aliyewasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages