HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2014

Balozi wa Urusi awaongoza waumini wa Dhehebu la Orthodox katika ibada ya Pasaka
  Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios wakati wa   Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi. Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
 Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios wakati wa   Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
 alozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh, akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios baada ya kumalizika kwa Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam
 Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh  akiwa  na waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox Askofu Dimitrios  wakati wa   Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka  iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Waumimi wa Dhehebu ya Orthodox  wakiwa katika Ibada ya kusherehekea  ufufuko wa Yesu Kristu (Pasaka) iliyofanyika katika Kanisa hilo lililpo eneo la Red Cross jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages