HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2014

MOTO WATEKETEZA NYUMBA SINZA MADUKANI
 Watu wakitoa msaada wakati wa tujio hilo.
 Watu wakishuhudia nyumba ikiteketea katika eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, leo.
 Baadhi ya majirani wakishuhudia tukio hilo.
 Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea.
 Kila aina ya msaada ulitolewa kunusuru nyumba hiyo.
 Mkazi wa Sinza akiomba dua wakati nyumba ya jirani yake ikiteketea.
 Askari wakiimarisha ulinzi wakati wa tukio hilo.
Ili kuepuka moto uliokuwa unawaka katika nyumba ya jirani yao baadhi ya majirani walitoa vitu vyao nje.

No comments:

Post a Comment

Pages