HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 17, 2014

WACHEZAJI WA YANGA WAHAMASISHWA KUNUNUA NYUMBA ZA DEGE ECO VILLAGE KIGAMBONI

 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kushoto), akifananua jambo kuhusu mradi wa nyumba wa Kijiji cha Dege eneo la Kigamboni, wakati wa semina ya kuwahamasisha wachezaji wa Klabu ya Yanga, kununua kwa mkopo nyumba hizo, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na John Badi)

No comments:

Post a Comment

Pages