HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 23, 2014

REAL MADRIAD LEGENDS VS TANZANIA 11, APATOSHI UWANJA WA TAIFA

Mchezaji wa timu ya Real Madrid Legends, Luis figo akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu mchezo wao dhidi ya Tanzania First Eleven unaofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Kulia ni mchezaji mwenzake, Christian Karembeu na wa pili kulia ni Mkurugenzi wa TSN Group, Farough Baghoza. (Picha na Francis Dande)
 Christian Karembeu akizungumza na waandishiu wa habari.

No comments:

Post a Comment

Pages