Mchezaji wa timu ya Real Madrid Legends, Luis figo
akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu mchezo wao dhidi
ya Tanzania First Eleven unaofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa,
jijini Dar es Salaam. Kulia ni mchezaji mwenzake, Christian Karembeu na wa pili
kulia ni Mkurugenzi wa TSN Group, Farough Baghoza. (Picha na Francis Dande)
Christian Karembeu akizungumza na waandishiu wa habari.
No comments:
Post a Comment