HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

August 27, 2014

WANACHAMA WAMKABIDHI FOMU HALIMA MDEE KUWANIA UENYEKITI WA BAWACHA, AMWAGA MACHOZI

 Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Nadia Said akipokea fomu kutoka kwa Katibu Muhtasi wa Mabaraza, Neema Alex.
 Baadhi ya wanachama wa Chadema wakiwa nje ya ofisi za Bawacha walipofika kumchukulia fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.
Halima Mdee akianza kutoa chozi baada ya wanachama wa kumchukulia fomu za kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa Baraza la Wanawake wa Chadema ( Bawacha)
Nipeni muda wa kwenda kutafakari jambo hili.
 Nipeni muda wa kwenda kutafakari jambo hili.........alisema Halima.
Hivi nitaweza kweli?
 Nitafikiria.........katika hili.
 Halima Mdee akipongezwa na akinamama waliomkabidhi fomu.
 Halima Mdee akitafakari huku machozi yakimtoka.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akipokea fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa  Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), kutoka kwa mwanacha wa Chadema tawi la Ununio, Nadia Said mara baada kundi la wanachama wa chama hicho kumchukulia fomu ili awanie nafasi hiyo.

 Halima Mdee akiingia katika Ofisi cha Chadema huku akisindikizwa na wanachama wa chama hicho.
Mwenyekiti wa Wazee wa Kata ya Kunduchi, Elfredina Malingumu (kulia) akimsindikiza pamoja na wanachama wa Chadema Mbunge wa Kawe Halima Mdee wakati alipokuwa akiingia Makao Makuu ya Chadema. 
 Halima Mdee akizungumza baada ya kukabidhiwa fomu.

No comments:

Post a Comment

Pages