HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 15, 2015

YANGA YASHUSHA KIPIGO UWANJA WA TAIFA, YAIFUNGA PLATINUM YA ZIMBABWE 5-1



Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa FC Platinum ya Zimbabwe, Gift Bello katika mchezo wa Kombe la Shirikisho uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-1. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akishangilia kwa staili ya kulia wakati alipoifungia timu yake bao la 5.


Washambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (mbele) na Simon Msuva wakishangilia kwa pamoja bao la tatu la timu hiyo lililofungwa na Tambwe, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya FC Platinum United uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 5-1. (Picha na Francis Dande)
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Platinum.
Wachezaji wakisalimia kabla ya mchezo.

Waamuzi wa mchezo huo wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa Yanga na Platinum kabla ya mchezo kuanza.
 Benchi la ufundi la Yanga likiwa limesimama kwa dakika moja kutoa heshima kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Slyvester Marsh.
 Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Salum Telela baada ya kuifungia timu yanke bao la kwanza
Mashabiki wa Yanga wakishangilia.
Moja ya hatari katika lango la Platinum.

No comments:

Post a Comment

Pages