HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 15, 2015

MAMIA WAMUAGA KOCHA WA STARS SYLVESTER MARSH

Beki wa zamani wa timu ya soka ya Yanga na timu ya taifa, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’ akisukuma jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Kocha Msaidizi timu ya taifa ‘Taifa Stars’ marehemu, Sylvester Marsh wakati wa ibada ya kuaga mwili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Muhimbili jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kuelekea jijini Mwanza kwa mazishi. (Picha na Francis Dande)  
Mwanahamis Omary wa timu ya taifa ya Wanawake akiaga mwili wa Kocha Marsh.
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
 Kocha wa Coastal Union ya Tanga, Jamhuri Kihwelo.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza.
 Wadau wa Soka wakiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Marsh.
 Mwakilishi wa Chama cha Makocha akitoa salama za chama hicho.
 Mchezaji wsa Twiga Stars akitoa heshima za mwisho.

No comments:

Post a Comment

Pages