HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 20, 2015

ZITTO KUAGA LEO BUNGENI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akifafanua jambo wakati wa vikao vya bunge la mwaka 2014. Zitto anatarajiwa kuaga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutogea misuguano kati yake na Chama chake cha Chadema hali iliyopelekea kubwaga manyanga leo.

No comments:

Post a Comment

Pages