HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 29, 2015

HATUNA MPANGO WA KUWANUNULIA WACHEZAJI NYUMBA, MAGARI-YANGA

 Mkuu wa Idara ya Sheria wa Klabu ya Yanga, Frank Chacha akionyesha gazeti lililoandika habari za kununuliwa nyumba na magari kwa wachezaji wa timu hiyo. (Picha na Francis Dande)
Msemaji wa Yanga, Jerry Muro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akikanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu kununuliwa nyumba kwa wachezaji wa timu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages