HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 26, 2015

KAMATI YA SAIDIA STARS ISHINDE YAVUNJWA RASMI

Mlezi wa Kamati  ya Saidia Taifa Stars Ishinde,  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akifafanua jambo kwa waandishi wa habari. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Teddy Mapunda na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Farough Baghozah. (Na Mpigapicha Wetu)
Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde, Farough Baghozah, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akitangaza kuvunjwa rasmi kwa kamati hiyo. Kushoto ni Mlezi wa kamati hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Katibu wa Kamati hiyo, Teddy Mapunda. 

No comments:

Post a Comment

Pages