HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 27, 2015

NHC YAZINDUA MAUZO YA NYUMBA KATIKA MRADI WA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akionyesha eneo la mradi mpya wa Seven Eleven (711) wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba katika mradi huo uliopo Kawe jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mhandisi mradi huo, Kishor Hirani na Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa NHC, Tuntufye Mwambusi. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages