HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 12, 2016

KLELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI MATUKUFU ZANZIBAR

Rais Dk. John Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein wakiwa katika sherehe za kilele cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja. (Picha na Ikulu)
 Baadhi ya Maafisa mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi na Taasisi za Serikali wakiwa katika sherehe za kilele cha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kutimia miaka 52 zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
 Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakibeba Picha la Marehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Karume wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini.
 Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja wakibeba mabango yenye ujumbe tofauti kama yanavyoonekana wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium.
 Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakinyanyua mikono juu kusherehekea sherehe za miaka 52 wakati wa kilele cha sherehe hizo zilizofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
 Vijana wa Chipukizi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini wakipita mbele kwa heshma akiwa  mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini wakibeba mabango yenye ujumbe tofauti kama yanavyoonekana wakati wa Maandamano ya kusherehehekea Kilele cha Mapinduzi Kutimia miaka 52 leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwangia mkono wananchi waliopita mbele ya jukwaa kwa maandamano leo katika kilele cha Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52 huko uwanja wa Amaan Studium.

No comments:

Post a Comment

Pages