HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 25, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka Sime katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. John Pombe Magufuli akitoa heshima baada ya kuweka Ngao katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodoma.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya kuweka silaha za jadi katika  Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodom.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya kuweka silaha za jadi katika  Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodom.
 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiongea wakati wa Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodom.

Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea wakati wa Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakimpongeza Waziri Mkuu mstaafu John Malecela baada ya kuongea na wananchi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Pages