HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 24, 2016

MAJALIWA ATOA HESHIMA ZA MIWHO KWA MSAIDIZI WA MTENDAJI MKUU WA OFISI YA WAZIRI MKUU

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Marehemu Margareth Lwekama katika ibada ya kumuombea marehemu iyoyofanyia kwenye Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Oktoba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages