Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

SIMBA USO KWA USO NA YANGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA MAPINDUZI, YAICHAPA JANG'OMBE BOYS 2-0

 MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Shiza Kichuya akijaribu kumpita beki wa timu ya Jangombe Boys, Ali Humud, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar mjini Zanzibar. Simba imeshinda 2-0. (Picha na Othman Maulid).  
 Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya bao la timu hiyo dhidi ya Jang'ombe Boys.
Mshambuliaji wa Simba, Juma Liuzio akijaribu kumpita beki wa timu ya Jang'ombe Boys Ibrahim Novat.
Mshambuliaji wa Timu ya Simba Laudit Mavugo  akimpita beki wa Timu ya Jangombe Boys Ali Humud.(Picha na Othman Maulid)   
Shiza Kichuya akimpita beki wa Timu ya Jangombe Boys Muharami Issa wakati wa mchezo wao wa mwisho kuwania kuingia nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi  mchezo uliofanyika Uwanja wa amaan mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment