MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba, Shiza Kichuya akijaribu kumpita beki wa timu ya Jangombe Boys, Ali Humud, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar mjini Zanzibar. Simba imeshinda 2-0. (Picha na Othman Maulid).
Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya bao la timu hiyo dhidi ya Jang'ombe Boys.
Mshambuliaji wa Simba, Juma Liuzio akijaribu kumpita beki wa timu ya Jang'ombe Boys Ibrahim Novat.
Mshambuliaji wa Timu ya Simba Laudit Mavugo akimpita beki wa Timu ya Jangombe Boys Ali Humud.(Picha na Othman Maulid)
No comments:
Post a Comment