HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

March 11, 2017

CRDB BENKI YAFUNIKA TULIA MARATHON JIJINI MBEYA

  Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akipokelewa na Mkurugenzi wa Masoko, Tully Mwambapa, wakati wa mashindano ya mbio za Tulia Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo.
  Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akipokelewa na Mkurugenzi wa Masoko, Tully Mwambapa, wakati wa mashindano ya mbio za Tulia Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akiangali fulana aliyovaa Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, ambayo  ilikuwa imebandikwa majina ya wadhamini ya mashindano ya Tulia Marathon.
 Mazoezi mepesi.
 Nibu Spika wa Bunge na Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tulia Marathon.
 Waziri wa Habari akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa benki ya CRDB.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akiongoza mbio za Kilometa 5 zilizoanzia katika Uwanja wa Sokoine na kuishia uwanjani hapo.
 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakikimbia mbio za Kilometa  5 za mashindano ya riadha ya Tulia Marathon jijini Mbeya na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.
Washiriki wakiwa katika mbio hizo.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Loleza ya mjini Mbeya wakishiriki katika mbio za Kilometa tano.
 Rais wa Shirikisho la Riadhaa, Antony Mtaka akibadilishana mawazo na Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa.  
 Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akitoa hotuba yake wakati mbio hizo.
Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akimpongeza, Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, baada ya kusoma hotuba yake.  
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, akimpongeza Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, baada ya kutoa hotuba yake.
 Mshindi wa Kilometa 21 za mashindano ya Riadhaa ya Tulia Marathon, akimkabidhi zawadi ya Sh. Milioni 1 mshindi wa mbio hizo kwa Wanaume, Ismail Juma.

 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakikimbia katika mashindano ya riadha ya Tulia Marathon jijini Mbeya na kudhaminiwa na Benki ya CRDB.

Mshindi wa mbio za Kilometa 21 za mashindano ya riadha ya Tulia Maratho  kwa upande wa wanawake, Mary Naali, akipokea zawadi ya Shs. Milioni 1 kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge, Tulia Ackson, katika mashindano yaliyofanyika jijini Mbeya. Wa pili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwapamba (wa pili kulia), na kulia ni Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Antony. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Benki ya CRDB. 
Mshindi wa mbio za Kilometa 21 za mashindano ya riadha ya Tulia Maratho  kwa upande wa Wanaume, Ismail Juma, akipokea zawadi ya Shs. Milioni 1 kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akimkabidhi zawadi ya Shs. 100,000 mshindi wa mbio za Kilometa 2 za Wazee za Tulia Marathon, Elines Matare.
Kutoka kulia ni Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Antony Mtaka, Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakicheza kiduku wakati wa mbio za Tulia Marathon zilizofanyika jijini Mbeya Machi 11.

No comments:

Post a Comment

Pages