Dande Contanct

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU.

CRDB

CRDB
.

Pages

HALOPESA, SELCOM KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZA KIFEDHA

 Meneja Mawasiliano wa Halotel, Hindu Kanyamala akizungumza katika hafla ya kuingia mkataba wa makubaliano ya kibiashara na Kampuni ya Selcom. (Picha na Francis Dande).
 Mkurugenzi wa Mikakati wa Selcom, Benjamin Mpamo akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kutiliana sahihi makubaliano ya kibiashara na Kampuni ya Halotel. (Picha na Francis Dande).
 Meneja Mawasiliano wa Selcom, Sabrina Munir, akimuonyesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van namna mashine ya kutoa huduma za kifedha inavyofanyakazi. Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Halotel, Hindu Kanyamala.   
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van (kushoto), akisaini mkataba wa makubaliano ya kibiashara na Mkurugenzi wa Mikakati wa Selcom, Benjamin Mpamo jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van na  Mkurugenzi wa Mikakati wa Selcom, Benjamin Mpamo, wakibadilishana hati ya makubaliano ya kibiashara baada ya kusaini mkataba. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van na  Mkurugenzi wa Mikakati wa Selcom, Benjamin Mpamo wakionyesha hati ya makubaliano ya kibiashara baada ya kusaini mkataba.

No comments:

Post a Comment