HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 03, 2017

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WASHINDA KATIKA KUNDI LA SEKTA YA BIMA NA HIFADHI YA JAMII KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

 Rais John Magufuli akimkabidhi Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, tuzo baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika kundi la Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii kwenye Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. (Picha na Francis Dande). 
Rais John Magufuli akimkabidhi Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, tuzo baada ya kuibuka washindi wa kwanzi katika kundi la Sekta ia Bima na Hifadhi ya Jamii kwenye Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akipeana mkono na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akishuka jukwaani baada ya kupokea tuzo kutoka kwa Rais John Magufuli.

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akishuka jukwaani baada ya kupokea tuzo kutoka kwa Rais John Magufuli.
 Mofisa wa LAPFwakiwa na tuzo yao baada ya kuibuka washindi wa kwanzi katika kundi la Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii.
Maofisa wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja.

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe akiwa na tuzo waliyopata katika Maonyesho ya Sabasaba.
Maofifa wa LAPF wakiwa katika picha ya pamoja.
Wateja wakipata huduma katika banda la LAPF.
Wateja wakipata huduma katika banda la LAPF.
Kuhudumia wateja.
Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF wakiwa tayari kutoka huduma.
Wananchi wakipata huduma katika banda la LAPF.
 Huduma zikiendelea kutolewa. 
 Wananchi wakipata huduma katika banda la LAPF.

No comments:

Post a Comment

Pages