HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2017

TLISSU AKOSA DHAMANA ASWEKWA RUMANDE

 Mwanasheria Mkuu wa Chadema ambaye pia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo akikabiliwa na shtala la uchochezi na lugha za maudhi. Lissu amerudishwa rumande hadi Julai 27 (Picha na Said Powa).
Lissu akiwa katika chumba cha Mahakama.
Lissu akiwa Mahakamani.
 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, kabla ya kuanza kwa kesi yake.
 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, akiwa kizimbani.
 Wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya Mahakama.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakamani.

Tundu Lissu akiwa katika gari la Polisi wakati akielekea mahabusu ya gereza la Keko.

No comments:

Post a Comment

Pages