HABARI MSETO (HEADER)


July 24, 2017

Taarifa ya Ufafanuzi toka Wizara ya Mambo ya Nje juu ya uhusino wa Kibiashara na Serikali ya Kenya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Dk. Augustine Mahiga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo ya pamoja ya mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Kenya jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Innocent Shiyo na kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya nchini, Peter Sang. (Picha na Eliphace Marwa, Maelezo).

Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Innocent Shiyo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo ya pamoja kuhusu mahusiano ya kibiashara kati ya Serikali ya Tanzania na Kenya mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Balozi Dkt. Augustine Mahiga.

No comments:

Post a Comment

Pages