Dande Contact

TEMBELEA BLOG HII KWA MATUKIO YA KILA SIKU-MOBILE +255 713 623 958 / +255 784 623 958 EMAIL dande15us@gmail.com

Halotel


CRDB

CRDB
.

Pages

Waziri Jenista akutana na Mwakilishi Mkazi wa UNICEF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi UNICEF Tanzania Ms. Maniza Zaman kuzungumzia uboreshaji wa huduma za Hifadhi ya Jamii na Masuala ya Watu Wenye Ulemavu ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa UNICEF Tanzania Ms. Maniza Zaman ofisini kwake, Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi UNICEF Tanzania Ms. Maniza Zaman baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Agosti 3, 2017.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Waziri Mkuu, Dar es Salaam 
3 Agosti, 2017

No comments:

Post a Comment