HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 23, 2013

MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU KANDA YA TANO YAENDELEA JIJINI DAR

 Mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Sudi Mlanga akiwatoka wachezaji wa Uganda wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya mpira wa kikapu kwa nchi za Kanda ya 5 Afrika uliofanyika kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa michezo, Juliana Yasoda wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

Pages