HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 05, 2013

LIGI KUU YA GRAND MALT ZANZIBAR YASHIKA KASI

 Athman China wa Mundu (kulia) akiwania mpira na Shaban Msafiri wa Chuoni katika pambano la Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kati ya timu ya Chuoni na Mundu kwenye uwanja wa MaoTse Tung mjini Zanzibar jana.Chuoni iliichabanga Mundu mabao 2 - 0.(Picha zote na Martin Kabemba)
 Mlinzi wa Chuoni, Ahmed Salum (kushoto) akipambana na mshambuliaji Japhet Mamboleo wa Mundu kwenye uwanja wa Mao Tse Tung jana, ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar. Chuoni 2 Mundu 0.
 Mlinzi Athman Mohamed wa Mundu (kulia) akimiliki mpira mbele ya Ameir Amour wa Chuoni.
 Mlinzi Athman Mohamed wa Mundu (mbele) akimzuia mshambuliaji wa Chuoni, Ameir Amour.
Saleh Hamad wa Chuoni (kushoto) akichuana na Alias Juma wa Mundu.

No comments:

Post a Comment

Pages