HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 05, 2013

MATUKIO YA LEO IKULU YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Dk.Rawya Saud Al Busaid,Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na Utamaduni (UNESCO)
Irina Bokovas,pamoja  na ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na  Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman, Dk.Rawya Saud Al Busaid, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment

Pages