HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 20, 2013

PAMBANO LA SIMBA NA PRISONS; SIMBA INAONGOZA 1-0


Makocha wa Simba wakitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu hiyo. Simba inapambana na Prisons kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine. (Picha na Christopher nyeyembe)
 Hatari mashabiki wa soka wakifuatilia pambano la Simba na Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine huku wakiwa juu ya nyumba jambo ambalo linaweza kuhatarisha maisha yao kutokana na kuwa jirani na waya za umeme. 
Mashabiki wa mpira wakiwa nje ya Uwanja wa sokoine,wengine juu ya miti

No comments:

Post a Comment

Pages