HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 24, 2013

RAMADHANI MAKULA MWENYEKITI MPYA WA CCM TAWI LA PAMBA ROAD DAR

Mgeni mwalikwa katika mkutano wa uchaguzi wa shina la Pamba Road lililopo Posta jijini Dar es Salaam, Ridhiwan Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Karimjee. 
Wajumbe wa mkutano wa uchaguzi.
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti, Ndugu Hamis Nshimba akijieleza mbele ya wajumbe.
Picha ya pamoja.  
Wajumbe wa mkutano wa uchaguzi wakisikiliza hoja za wagombea

DAR ES SALAAM, Tanzania

Shina la Chama cha Mapinduzi la Pamba Road lenyemaskaniyakeeneo la Posta, Jijini Dar es Salaam limefanya Uchaguzi wa muda kwa nafasi ya Mwenyekiti na Mjumbe, kupelekeaMwenyekiti wake wazamani Ndugu Said Salum Masanga kujiuzulu nafasi hiyo kwa kuwa amechaguliwa kuwa Mwenyekiti waVijana wa CCM Wilayaya Kinondoni.

Ambapo kutokana na Katiba na Kanuni ya Uongozi za Chama cha Mapinduzi, kuwa Mwanachama hawezi kuwa na vyeo viwili vya kutumikia katika wakati mmoja, hivyoNdugu Masanga alijiuzulu na kuachawazinafasiyaMwenyekitiwa Shina Hilo.

Kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Shina Hilo, walijitoke za watu watatu ambao walipitishwa na vikao vya ndani na hivyo kupitisha majina yao ili yaweze kupigiwa kura, amba oni;
1)      KhamisNshimba
2)      Ramadhani Makula
3)      Dr Richard Manunu
Ambapo Ndugu Ramadhani Makula aliibuka mshindi kwa nafasi hiyo na kutangazwa kama kiongozi halali na Mwenyekiti wa Shina hilo lililopo katikati ya JIJI.
Kwa nafasi ya Ujumbe wa lijitokeza watu wawili amba oni;
1)      Allen Malewah
2)      Sophia Mbwile.

AmbapoNdugu Sophia MbwilealiibukaMshindi.
MkutanohuowaUchaguziulifanyikakatikaukumbiwa Karimjee ambapo ulihudhuriwa na waalikwa na wageni mbalimbali, akiwemo Mjumbe wa HalmashauriKuuya CCM Taifa akiwakilisha wilayaya Bagamoyo Ndugu Ridhwani Kikwete na Paul Christian Makonda (Aliyegombea nafasiya Makamu Mwenyekiti (UVCCM Taifa), Mwenyekiti wa Kikao hicho kwa muda ndugu Augustino Matefu na wengineo.

Uchaguziulimazikasalamajioniyaleo na ulikuwahuru na haki, hakunamgombeayeyotealiyejitokezakupingaamakulaumukutotendewa haki.

No comments:

Post a Comment

Pages