Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya
Stanbic, Hatibu Senkoro (waliosimama mbele kushoto) akimkabidhi zawadi Mjumbe aliyemaliza muda wake, Mh. Abdulrahman
Kinana (waliosimama mbele kulia) katika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es
Salaam. Wengine ni kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Dkt. Hamis Kibola,
Mkuu wa Sheria wa Stanbic Bw. Sioi Solomon, Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bw.
Bashir Awale, Nada Margwe na Bw. George Alliy.
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment