Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe
akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es
Salaam, kitengo cha Mifupa (MOI) alikolazwa kuhusiana na mipango ya kusafirishwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake wakati akitoka kazini usiku wa kuamkia leo na kuumizwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwa ni pamoja na kumtoboa jicho. (Picha na Habari Mseto Blog)
March 06, 2013
Home
Unlabelled
KIBANDA KUSAFIRISHWA AFRIKA YA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI
KIBANDA KUSAFIRISHWA AFRIKA YA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment