HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 01, 2013

MARAFIKI WA IMANI WAIFUNGA MARAFIKI WA NMB 3-1

Mtangazaji wa Clouds Media Group, Shafih Dauda (kulia) akiwa na wachezaji wenzake.
 Imani Kajula akibadilishana mawazo na wachezaji wenzake wakati wa mchgezo maalum wa kumuaga uliofanyika kwenye Uwanja wa karume. 
 Nahodha wa timu ya Marafiki wa NMB, Richard Malibwa akizungumza wakati wa mchezo maalumu wa kumuaga Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya NMB, Imani Kajula kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
 Kiungo wa timu ya Marafiki wa Imani, Imani Kajula (kulia) akimtoka mchezaji wa timu ya Marafiki wa NMB, Hamad Haji katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
 Kiungo wa timu ya Marafiki wa Imani, Imani Kajula (kulia) akichuana na mchezaji wa timu ya Marafiki wa NMB, Salim Shaban
 Mtangazaji wa Clouds Media Group, Shafih Dauda akiwa katika picha ya pamoja na Imani Kajula.
 Beki wa timu ya Marafiki wa NMB, Revocatus Makole akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa timu ya Marafiki wa Imani  
 Naodha wa timu ya Marafiki wa NMB, Richard Malibwa akiwa amepozi na golikipa wa timu ya Marafiki wa Imani, Fredrick Mwakalebela.
 Mshambuliaji wa timu ya Marafiki wa Imani, Shafih Dauda (katikati) akiwapa mbinu za ushindi wachezaji wenzake wakati wa mapumziko. 
 Wachezaji wa timu ya marafiki wa Imani wakipata mawaidha wakati wa mapumziko.

 Kiungo wa timu ya Marafiki wa Imani, Imani Kajula (katikati) akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa marafiki wa Imani katika mchezo wa kumuaga Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa benki ya NMB, Imani Kajula, kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Marafiki wa Imani walishinda 3-1

No comments:

Post a Comment

Pages