HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 19, 2013

RAIS KIKWETE ATOA POLE MSIBA WA ASKARI WA USALAMA BARABARANI ALIYEGONGWA NA GARI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013. (Picha na Ikulu)
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole  mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,leo Machi 19, 2013

No comments:

Post a Comment

Pages