Wanafunzi wakiingia kwa maandamano. (Picha zote na Habari Mseto Blog)
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na mke wa Waziri Mkuu wakiangalia ngoma ya utamaduni ya kikundi cha Wanne Star wakati ikitumbuiza.
Maigizo
Kikundi cha sanaa cha Wanne Star kikitumbuiza
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang’ombe wakipiga vinanda wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tandika wakicheza ngoma ya Mganda wakati wa tamasga hilo.
Mgenira rasmi mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Ofisa Utamaduni Manispaa ya Temeke, Janeth Nkini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema.
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi zawadi mwalimu wa Shule ya Msingi Miburani, Fausta Luoga wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mgenira rasmi mke wa Waziri Mkuu, Tundu Pinda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate na wa pili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema.
Baadhi ya majaji katika tamasha hilo.
Picha ya pamoja wafanyakazi wa PPF na mgeni rasmi
Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda akimkabidhi zawadi ya mipira mwalimu wa Shule ya Msingi Kibasila, Rosemary Seleng’a wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Vupe Ligate akimkabidhi zawadi mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda, wakati wakati wa tamasha la watoto lililoandaliwa na mfuko huo, chini ya kampeni ya kutangaza fao la elimu na kufanyika jijiji Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema na kushoto ni Kaimu Ofisa Utamaduni Manispaa ya Temeke, Janeth Nkini.
No comments:
Post a Comment