Wafanyakazi wa kila kada Ikuluy bila kujali nyadhifa zao wanafanya kazi bega kwa bega kuhitimisha Siku ya Mazingira Afrika kwa kufanya usafi. PICHA NA IKULU
Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi (mwenye blauzi ya kijani) na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Julius Mogore(mbele) wakiongoza shughuli za usafi kuzunguka maeneo ya Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 1, 2013 katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Afrika. Siku hiyo itaadhimishwa kitaifa siku ya Jumapili.
No comments:
Post a Comment