Makamu Mwenyekiti Bara, Philip Mangula na Bi Yolanda wakati wa ibada ya ndoa yao. (Picha na Chris Mfinanga)
Maharusu wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao.
Hongera sana.
Waziri Mkuu akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula baada ya kufunga ndoa na Bi Yolanda.
Na Mwandshi Wetu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka wa Tanzania wapendane na kuishi kama watoto wa baba mmoja na kuondoa tofauti za kidini ambazo zina weza kulingiza taifa katika matatizo makubwa Waziri Mkuu ametoleamfano wahivi karibuni ambao badhi ya wakristo na waisilamu walianza kugombana kwa ajili ya uhalali wa kuchinja amesema watanzania hawana budi kuheshimu imani za wenzao kwani miaka ya nyuma watu walikuwa wakishirikiana kiasi kwamba huwezi kujua tofauti ya mkristo na mwisilamu kwa vile watu walikuwa wana pendana nakuheshimu dini ya mwenzake ,
Hivyo amewaomba viongozi wadini kusaidia kurudisha upendo ambao ulikuwepo amesema amefurahishwa na kuona hata viongozi wa dini ya kisilamu Kuwepo kanisani katika ibada ya kubariki ndoa ya Bwana Philip Mangula na Bibi Yolanda Kabelege amesema watu wanjombe ndio mfano wakuigwa
Waziri mkuu ameyasema hayo alipokuwa amehudhuria sherehe ya kubariki ndoa ya Makamu mwenyekiti wa ccm bara Mh Philip Mangula na Mwalimu Yolanda Kabelege ambayo imefanyika katika kanisa la Kilutheri Mkoani Njombe.
Naye Katibu mkuu wa ccm Mh Abdurahamani Kinana aliwapongeaza wana ndoahao kuamua jambo lakufunga ndoa kwani hata vitabu vitakatifu vinasema nyumba iliyo katika ndoa hata mungu huibariki nakuipa amani
Sherhe hiyo imefanyika siku ya jumamosi 6april 2013 ilhuduriwa na viongozi dini wa chama na waserkali mabaozi na wana njombe
No comments:
Post a Comment