HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 19, 2013

JOSHUA NASSARI AKIMBIZWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akichukuliwa vipimo na Daktari kabla ya kupanda ndege ya kukodi kupelekwa jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi kutokana na majeraha aliyoyapata kutokana na kushambuliwa na watu wasojulikana katika vurugu zilizotekea wakati wa uchaguzi wa udiwani mjini Arusha hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Pages