HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 17, 2013

KAMPUNI YA KONYAGI YAWAPA WABUNGE SEMINA KUHUSU VIROBA

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL, David Mgwasa akizungumza wakati wa Semina ya wabunge wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara iliyofanyika mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Meneja Mauzo wa Konyagi, Joseph Chibehe akizungumza katika semina hiyo.
Baadhi ya bidhaa zinazohifadhiwa katika pakti ambazo hazijawahi kutajwa kama zinachafua mazingira, isipokuwa Kinywaji cha Konyagi ya pakti.
Mh. Idd Azzan akizungumza wakati wa semina hiyo.
Mh. Amos Makalla. 
Meneja Mauzo wa Konyagi, Joseph Chibehe (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vyerehani kwa White Zuberi kwa ajili ya Halmashauri ya Kongwa. Halfa hiyo ilifanyika mjini Dodoma juzi.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL, David Mgwasa akimkabidhi vifaa vya michezo, Mh. Idd Azzan.

No comments:

Post a Comment

Pages