HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 07, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILALA, MGENI RASMI KWENYE MAHAFALI YA KWANZA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO
 Makamu Mkuu wa Chuo cha Bagamoyo 'UB' Prof. Costa Mahalu akimtambulisha Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal baadhi ya waadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo. (Picha na Francis Dande)







































Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.




 Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akimpongeza, Happiness Katabazi mara baada ya kutunukiwa Stashahada ya Sheria katika mahafali ya Kwanza ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akimpongeza Mwandishi wa Habari, Happiness Katabazi mara baada ya kutunukiwa Stashahada ya Sheria katika mahafali ya Kwanza ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Costa Mahalu na Mkuu wa Chuo hicho, Askofu Elinaza Sendoro. 
 Makamu wa Rais akikata keki ya UB.





No comments:

Post a Comment

Pages