Wapuliza ara wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande. |
Wapiga magita wa msondo ngoma wakifulumusha magita hayo wakati walipokuwa wakitoa burudani kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani na Mustafa Pishuu. Picha na www.burudan.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment