HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 14, 2013

YANGA YAINYOA KMKM 3-2
 Kocha wa Yanga, Ernstus Brands (kulia), akifuatilia pambano la kirafiki kati ya Yanga na KMKM lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa leo. Yanga imeshinda ilishinda 3-2. (Picha na Francis Dande)

Benchi la Ufundi la timu ya KMKM ya Zanzibar.

 David Luhende wa Yanga akiwania mpira.
 Mshambuliaji wa Yanga, Reliants Lusajo akichuana na mchezaji wa KMKM, Mwinyi Ameir Makungu.
Mshambuliaji wa Yanga, Reliants Lusajo akiwatoka walinzi wa KMKM ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-2. 
 Beki wa KMKM, Faki Ali Amad (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka mshambuliaji wa pembeni wa Yanga, Simon Msuva katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Msuva akichuana na Faki Ali Hamad.
 Kipa wa Yanga Juma Kaseja akiokoa moja ya hatari langoni mwake.

Mshambuliaji wa KMKM, Nassor Ali Omar akiruka juu kuwania mpira sambamba na Simon Msuva wa Yanga.
 Mashabiki wa Yanga.
Kikosi cha Yanga.

No comments:

Post a Comment

Pages