Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe wakibadilishana hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zimefanyika leo mjini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne (kulia ) Balozi Ami Mpungwe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne (kulia ), Balozi Ami Mpungwe wakisaini hati za mkataba wa ubia kuhusu uchimbaji wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. (Picha na Tiganya Vicent wa Maelezo)
No comments:
Post a Comment