HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 17, 2013

WASHINDI 120 WA DROO YA PILI YA KI- COLLEGE PLUS NA NMB
Ki-COLLEGE plusna NMB ni promosheni inayowawezesha wanafunzi wenye akaunti ya NMB Student Account kupata nafasi ya kuingia kwenye droo na kujishindia za wa dimbalimbali kama: simu za Samsung Galaxy Pocket Plus 3g na fulanaza NMB.

 Ili uweze kuingia kwenye droo na kupata nafasi yakujishindia zawadi kwenye promosheni ya Ki COLLEGE plusna NMB, mwanafunzi wa elimu ya juu anatakiwa kufungua NMB Student Account, kuweka amana katika akaunti ya NMB Student Account, kutumia au kujiungana NMB mobile.


Ikiwa hujatumia akaunti yako kwa muda mrefu tembelea tawi la NMB ili nawe ushiriki katika promosheni hii ya Ki-COLLEGE plusna NMB.
Meneja wa amana za wateja, Boma Raballa akiongea na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ili kuwapata washindi mia moja ishirini wa promosheni ya NMB na Ki-college Plus mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Promosheni hii inawawezesha wanafunzi wenye akaunti na NMB kujipatia zawa di mbalimbali zikiwamo simu za mkononi. Kushoto ni Meneja watawi la NMB Bank House,  Leon Ngowi
Menejawa NMB tawi la NMB Bank House (tatukushoto) Leon Ngowi akibonyeza kitufe ili kuwapata washindi wa NMB  Ki- college Plus .Wa kwanza kushoto ni Meneja Masoko wa NMB, Yusuf Shenyagwa, Meneja wa amana za wateja, Boma Raballana kwanza kulia ni Mkaguzi wa bodi ya Michezo ya kubahatisha, Sadik Maggid na anayemfuata ni Meneja Huduma wa kampuni ya selcom, Chia Ngahyoma.
Maofisawabenkiya NMB wakionyesha zawadi mbalimbali ambazo zinatolewa kwa washindi wa promosheni ya NMB na Ki-college Plus ambayo inaendelea.
Jumla ya washindi 120 walipatikana katika droo hiyo

No comments:

Post a Comment

Pages