Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akivishwa shada la maua na mmoja wa watoto wa kijiji cha Kakola katika jimbo la Tabora mjini, alipokwenda kufungua tawi la chama hicho, akiwa katika ziara yake ya kujenga chama jana. (Picha zote na Joseph Senga)
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akiwahutubia wananchi wa mji wa Tabora, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari Uyui jana, ikiwa ni mfululizo wa ziara yake ya kujenga chama katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Singida.
Wakzi wa Tabora wakifuatilia mkutano huo.
No comments:
Post a Comment