HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 03, 2014

HALMASHAURI TATU JININI MWANZA ZAKABIDHIWA MATREKTA
Naibu Waziri wa Maji, Binilith Mahenge akiwasha moja ya matrekta manane ya mradi wa majisafi na majitaka, yaliyokabidhiwa leo jijini Mwanza kwa miji ya Halmashauri tatu za Geita, Sengerema na Ukerewe mkoani Mwanza, katika hafla fupi ya kukabidhi magari matano, makontena 104 na matrekta hayo na tela zake, katika mradi huo unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa gharama ya dola milioni 30.4, sawa na sh. bilioni 48.6. (Picha na Sitta Tumma).

No comments:

Post a Comment

Pages