HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

January 01, 2014

FRANCIS MIYEYUSHO AMTWANGA MKENYA KWA KO
 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto), akitupiana makonde na bondia Joshua Amukulu kutoka Kenya katika pambano la kufunga mwaka lililofanyika kwenye Ukumbi wa New Msasani jijini Dar es Salaam. Francis Miyeyusho alishinda kwa KO katika raundi ya pili.

 Bondia Francis Miyeyusho (kulia), akitupiana makonde na bondia Joshua Amukulu kutoka Kenya.

 Bondia Francis Miyeyusho (kulia), akitupiana makonde na bondia Joshua Amukulu kutoka Kenya.
 Bondia Joshua Amukulu kutoka Kenya akienda chini baada ya kupigwa konde zito na bondia Francis Miyeyusho katika pambano la kufunga mwaka lililofanyika kwenye Ukumbi wa New Msasani jijini Dar es Salaam. Francis Miyeyusho alishinda kwa KO katika raundi ya pili.
 Bondia bondia Joshua Amukulu akiwa chini baada ya kupata kipigo kikali kutoka kwa Francis Miyeyusho na kushindwa kuendelea na pambano hilo. 
 Joshua Amukulu akiwa hoi baada ya kupigwa kwa KO katika raundi ya pili.
 Francis Miyeyusho akifanya mahojiano na waandishi wa habari.
 Mimi ni Bingwa.

No comments:

Post a Comment

Pages