HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 01, 2014

KINANA ALIVYOITIKISA DAR

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga.

 Wananchi waliohudhuria mkutano huo, uliofanyika juzi,  kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa wakati wa kuzindua Bunge Maalum la katiba,linaloendelea mjini Dodoma.

Kinana akionyesha kadi ya Chadema aliyokabidhiwa na Ramadhan (kushoto).
 Wananchi wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalumu.
 Balozi Ali Abeid Karume, akizungumza katika mkutano huo.

 Mwenyekiti wa Chama cha SDF cha Cameroun, John Frundi, akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Kinana na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida.


 WANACHAMA wa CCM, wakimpongeza Kinana kutokana na juhudi zake katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Baadhi ya wajumbe waalikwa waliohudhuria mkutano huo.
Picha zote na Khamis Hama

No comments:

Post a Comment

Pages